top of page

Upendo wa Ngozi – Turmeric & Honey Face Mask

Natural Glow. Real Love.

Ipe ngozi yako mapenzi ya kweli kwa kutumia mchanganyiko wa asili unaosaidia kung’arisha, kutuliza na kuhuisha ngozi kwa upole.
“Upendo wa Ngozi” ni mask ya uso iliyotengenezwa kwa asali safi, manjano (turmeric), mafuta ya nazi na aloe vera – bila kemikali, bila viungio vya bandia.

Inafaa kwa ngozi ya mafuta, kavu au mchanganyiko, na husaidia:
✅ Kupunguza chunusi na madoa
✅ Kung’arisha ngozi iliyochoka
✅ Kutoa sumu (detox) na kurudisha softness
✅ Kulinda ngozi dhidi ya ukavu na kuvimba

Viambato: 100% natural
Asali ya asili, Turmeric powder, Mafuta ya nazi, Aloe vera, (na matone ya lavender oil)

  •    Jinsi ya kutumia: Pakaa kwenye uso safi,
  •     Acha kwa dakika 10–15
  •     Osha kwa maji ya uvuguvugu
  •    Tumia mara 2–3 kwa wiki kwa matokeo bora

Tumeric & honey

5.000,00 TZSPreis
5.000,00 TZS pro 50 Gramm
Anzahl
    Your Wellness Destination

    +255767874063

    Arusha Tanzania

    • Facebook
    • Instagram

     

    © 2035 by Lean & Lush. Powered and secured by precisions 

     

    bottom of page