top of page

✨ Muonekano wa salon nyumbani kwako!

Kutana na Brashi ya Kikaushia Nywele  – kifaa cha urembo chenye nguvu ya kutoa matokeo ya haraka, laini na yenye mvuto. Imeundwa kwa teknolojia ya kipekee ya airflow na umbo la oval, inayorahisisha kukausha, kunyoosha, kupa mawimbi, na kutoa volume kwa nywele zako kwa wakati mmoja!

Faida kuu:
💨 Hukausha nywele haraka bila kuzipa joto kupita kiasi
💁🏽‍♀️ Hutoa volume na bounce kwa urahisi
🌊 Ina uwezo wa kuweka mawimbi na mitindo mbalimbali ya nywele unayoitaka – curly, soft waves au sleek style
💡 Mpangilio wa joto wa Low, Medium na High 🌬️ Teknolojia ya Ionic kwa nywele zenye kung'aa na zisizo na static
🧽 Bristles zenye plastiki laini kwa kutopasua nywele wala haikati nwele kabisa
🔌 Rahisi kutumia – plug and style! Perfect kwa wanawake wanaopenda kuonekana smart kila siku bila kwenda saluni!
 

hand hair drier and style

TZS 30,000.00Price
Quantity
  • MATUMIZI:

    • Tumia kwenye nywele zilizokaushwa kwa taulo (semi-dry)

    • Epuka kutumia kwenye nywele zenye maji mengi

    • Usiguse sehemu ya joto wakati wa matumizi

    • Hifadhi mahali pakavu baada ya matumizi

    📦 Nyongeza: Inakuja tayari na waya mrefu kwa matumizi rahisi nyumbani.

  • 🚚 Huduma ya Uwasilishaji (Delivery):
    Kwa wateja wetu wa Arusha Mjini, tunakuletea hadi mlangoni bila malipo yoyotekabisa bure!

    Kwa wateja waliopo mikoa mingine ya Tanzania, ada ya uwasilishaji ni TZS 5,000 kwa kila bidhaa (kuanzia kipande kimoja hadi vitano).

    Tunazingatia muda, usalama, na ubora wa kila kifurushi chako.
    OQP – Only Quality People deserve Only Quality Delivery.

Your Wellness Destination

+255767874063

Arusha Tanzania

  • Facebook
  • Instagram

 

© 2035 by Lean & Lush. Powered and secured by precisions 

 

bottom of page